UMUHIMU WA MARK ZA TIMING KATIKA ENGINE


 HABARI WANA JAMVI NAOMBA TUJIFUNZE KITU MWENYE KUONGEZEA ASISITE KUTOA MCHANGO WAKE


Mark za timing  ni kiashirio muhimu kinachotumiwa kuweka uwiano wa kuwasha injini.  Kwa kawaida hupatikana kwenye puli ya crankshaft,camshaft au flywheel, inasaidia kuhakikisha kuwa injini inawaka kwa wakati muwafaka kwa utendakazi bora.  Alama hizi huwekwa kwenye sehemu zinazozungushwa na crankshaft, pamoja na crankshaft yenyewe huwa na alama


Kwa nini mark za timingi ni muhimu:


Engine iliotegwa timing vizuri:hupelekea kuwaka vizuri na kwa wakati vile vile hufanya kazi kwa ufanisi


Huzuia muungurumo usio sahihi kwa Injini: timing isiyo sahihi  inaweza kusababisha muungurumo usio sahihi na kusababisha injini kugonga gonga



Timing iliotegwa vizuri hupelekea Mafuta kuchomwa vizuri na kwa muda unaofaa


NI hayo tu


DIESEL TECHNICIAN

Comments