Leo baba mwenye nyumba alikuja nyumban kwangu mazungumzo yakawa hivi?
*Baba*: habari za leo kijana
*Mimi*:safi mzee shikamoo
*Baba*: marhaba, kijana mbona tarehe zishapita  naona kimya
*Mimi*:  vipi uzioni siku zako?
*Saivi anatoa vyombo vyangu nje naisi ananisaidia kufanya usafi.*
??????????????😆😆😆😆😆😆😆😆

Comments