Kuna jamaa aliweka picha ya ki-pikipiki chake kama whatsapp dp, halaf status akaandika "kabaya kamezeeka lakini kananifanya niishi mjini". Jana amechange dp ameweka picha ya mchumba wake lakini akasahau kubadilisha status. Unajua kilichotokea?? ??????.!😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Comments
Post a Comment