kenyan jokes

Nimekosa kitu ya kufanya nkaona siafu hapa kwa meza,nikamwaga sukari ndo ionje halafu kakakimbilia wenzake sa nkapanguza hiyo sukari ndo wasipate wakifika then wapige  huyo fala....sa Niko tu nangoja war????????napenda ujinga mimi😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

Comments