Ibada ilipo karibia kuisha mhubiri akauliza; "anaye taka kuokoka anyoshe mkono!" watu wote kimya. Tajiri mmoja akapita mbele akasema; "jamani mhubiri anauliza anaye taka kuokoka anyoshe mkono! "mtoto mmoja akanyosha mkono. Tajiri akampa yule mtoto laki 3
Akawageukia waumini akauliza tena; anaye taka kuokoka anyoshe mkono" waumini wotee wakanyosaha mikono, cha kushangaza alipo geuka nyuma akakuta mhubiri naye kanyosha mkono
??????????????????????????????
#Shikamoo_pesa????😆😆😆😆😆😆😆😆😆

Comments
Post a Comment