Baba: Enhe mwanangu vipi interview ya kazi ilikuaje?
Kijana: Aah ilikua poa Ba, wemeniambia mshahara kwa sasa itakua 20,000 halafu baada ya miezi 6 itakua 30,000.
Baba: Mabrook mwanangu basi leo ulale mapema kesho ukaanze kazi.
Kijana: Nishawaambia nitaanza baada ya mezi 6 ndio tuanze na hiyo 30,000 moja kwa moja.
Baba: Laa haulaaaa balaa gani hizi.
????????????????

Comments
Post a Comment