CHEKA UPATE AFYA

Tumekuwa tukiwatch Dj Afro na mum then akasema "cheki maneno amegonga makagari"
Mum na kimbesho anauliza makagari ni nini nikamshow ni mikono.....
Kidogo wageni wakaingia nikaskia mum akiita maid.... Becky leta maji wageni wanawe makagari
??????????????????????😅😅😅😅😅

Comments