#USHAWAHI??
Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia Movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani.. DINGI anapagawa ile kuua soo anakuulza "john ushapiga pasi GARI..!! Nawe ulivyojichanganya unajibu " umeme umekatika mzee"
??????????????๐๐๐๐๐

Comments
Post a Comment