CHEKA UPATE AFYA

Mwalimu aliingia darasani akauliza wanafunzi; "ukitoka shule unafanya nini"???
Mwanafunzi wa kwanza: "ninaenda kwa Erasto Magingi kununua bangi"
Mwanafunzi wa pili: "huwa naenda kwa Erasto Magingi kununua sigara"
Mwanafunzi wa tatu: "huwa naenda kwa Erasto Magingi kununua kabundi"
Mwanafunzi wa nne: "huwa naenda kwa Erasto Magingi kununua Madawa ya kulevya"
Mwalimu Mmmh!? Na wewe.....!!!!????
Mwanafunzi wa tano: "huwa nakaa Nyumbani ninajisomea na kufanya home work"
Mwalimu: 'Safi sana kijana mzuri mwenye mfano wa kuigwa....!!!! unaitwa nani?????'
Mwanafunzi: 'Erasto Magingi'

Comments