JOKE OF THE DAY.
Mke mmoja aliamua ampe mume wake radio aingie nayo chooni ili asiboeke kwa kuwa yeye huchukua muda chooni.baada ya mume kutoka chooni.mke kauliza mbona umekasirika? Washenzi hawa watangazaji, wameniwekea wimbo wa taifa,nimekunya nikiwa nimesimama??????????????!😅😅😅😅😅

Comments
Post a Comment