*Kuna mtu kanikera* *et nmemkubalia urafiki Leo tu* *Facebook anataka kujua kabila langu*
*Bac akajifanya mjanjaa et* *akaniuliza mbu kwenu mnawaitaje*
*Mimi nkamjibu hatuwaiti wanakujaga* *wenyewe*
??????????????
*Si kwamba cjamuelewa ila sipendagi Ujinga Mimi*😆😆😆😆😆😆😆😆😆

Comments
Post a Comment